YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Lazima nifoke maana unanichanganya tu[emoji4]
Me nikuchanganye wewe bonge la BWANA???!!
Pedezeeee
Lazima nifoke maana unanichanganya tu[emoji4]
Una maneno matamu heheheMe nikuchanganye wewe bonge la BWANA???!!
Pedezeeee
Mtu kama anakufahamuu vuzuriiii walaaa hata hadhtuki na Habari zao za kimbeaaa!
Asante Ant kwa kunitambulisha wifii yangu😁😁😁Namaste mama ji 😁😁
Ssauuuwaaaaasssauwaaaa Uduguuu here standby 🙇😳Udugu nakubless kaa kwa kutulia
Shukriya 😁😁, jinga kabisa🤣😂😂Asante Ant kwa kunitambulisha wifii yangu😁😁😁
Umesema ndoa karibuni 😁😁Shukriya 😁😁, jinga kabisa🤣😂😂
Hamna shida una masikio kama dishi la Azam😁🤣😂Umesema ndoa karibuni 😁😁
Intelligent businessman bichwa ni wako sasa nimekuachia😂 umtunzeNgoja ni tag BICHWA KOMWE -
🙇🙇🙇🙇🙇Soon udugu
😁😁😁Hamna shida una masikio kama dishi la Azam😁🤣😂
Iskrinshut hawataweza kuidukua😁😁😚!Natafuta pic ambayo sijaipost kokote wambea washindwe kunipata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AhahahHilo ndo la muhimu💪, siku nikianza kutembea kwa miguu Nita kuja🤒