Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaaa... kuhusu kupewa taarifa zako za selfika umenikumbushaa kitruuu em nicheke kwanza bwahhahahaaa
Ukute hadi picha zako unazoselfika anatumiwaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!

Hii ndo Selfikaaaa nyieee [emoji1787][emoji1783][emoji1783][emoji1783]!!

Wanamtumia msg piem aniache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa jf wanachekesha jamani, niachike wakae wao wanataka
Na siachiki na bwana hawampati ng’o wataishia kumtolea macho [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Yaani wanataka wamchukue Kantri, masikini😢?
 
Back
Top Bottom