Vijana wanadema dema sana, wote mna mbinu zinafanana.
Kila wakimtongoza cute wife basi lazima wanipondee,
Siku nikiwa natoka kwenye majukumu yangu alafu nna stress, ntakuja hapa kuwachana mmoja mmoja maana wote naona umri mkubwa lakini akili za ki-teenager
Nitawapa somo vizuri, atayechukia hiyo itakua juu yake. Kuna mmoja huku kwenye mijadala anakua innocent sana, lakini akienda inbox kutongoza anaenda kuniponda
Huku kwetu hawasumbui sana maana wakishamaliza tu Std 7 njemba zinapachika mimba.....
Kwanza hata umeme hakuna, hizo Iphone watazitoa wapi ? Huku kizinga kikubwa ni 10,000/=
Eti Mwachiluwi kule kwenu Mwakaleli kuna Kitambaa Cheupe au Kidimbwi, ???
Vijana wanadema dema sana, wote mna mbinu zinafanana.
Kila wakimtongoza cute wife basi lazima wanipondee,
Siku nikiwa natoka kwenye majukumu yangu alafu nna stress, ntakuja hapa kuwachana mmoja mmoja maana wote naona umri mkubwa lakini akili za ki-teenager
Nitawapa somo vizuri, atayechukia hiyo itakua juu yake. Kuna mmoja huku kwenye mijadala anakua innocent sana, lakini akienda inbox kutongoza anaenda kuniponda
Huku kwetu hawasumbuia sana maana wakishamaliza tu Std 7 njemba zinapachika mimba.....
Kwanza hata umeme hakuna, hizo Iphone hazitusumbui sana, huku mzinga mkubwa ni 10000