Selfika na JF: Snap it. Show it


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Toka unipokonye simu yangu umesoma piem zangu ishakuwa shida khaaaaa!!!!
 
Sio dasilamu tu, mikoa yotee ni jau πŸ˜‚πŸ€£πŸ€’
Huku kwetu hawasumbui sana maana wakishamaliza tu Std 7 njemba zinapachika mimba.....
Kwanza hata umeme hakuna, hizo Iphone watazitoa wapi ? Huku kizinga kikubwa ni 10,000/=
Eti Mwachiluwi kule kwenu Mwakaleli kuna Kitambaa Cheupe au Kidimbwi, ???
 
SEMA UNA JIHOFIA SANA MKUU, AU NDO UNA TAFUTA HURUMA YAKE πŸ€’πŸ€’
 
Huku kwetu hawasumbuia sana maana wakishamaliza tu Std 7 njemba zinapachika mimba.....
Kwanza hata umeme hakuna, hizo Iphone hazitusumbui sana, huku mzinga mkubwa ni 10000
Eti Mwachiluwi kule kwenu Mwakaleli kuna Kitambaa Cheupe au Kidimbwi, ???
Dahhh elfu 10 mbona nyingi Sana πŸ˜‚πŸ€£πŸ™‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…