Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,779
- 182,925
Karma ni muumini mzuri kabisa.Hahah...ushaanza mauchokozi yako...ngoja aje
Karma ni muumini mzuri kabisa.Hahah...ushaanza mauchokozi yako...ngoja aje
Leo ni December 1, lazima tujijali. Maisha yetu yana thamani kubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, hebu sema kweli maana ndio unaamka.
Kwahiyo unajijali leo tu?Leo ni December 1, lazima tujijali. Maisha yetu yana thamani kubwa sana
AlwaysKwahiyo unajijali leo tu?
Kwani hata huwa unaona sasa[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Always
Nimemuona.Muone vilee
najua hujaelewa hadi sasa [emoji16]
Hahah...hebu ngoja wanasoma neno sasa hivi kanisani alipo
Hahaha...endelea na moto huo huo mama
Na wanasema akiwa anatumia dawa eti vipimo vinaonyesha (-) walah kama ni hivyo twafwaaaa[emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha...hakunaga kitu ka hiyo...
Hahaha...vizuri...[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]nimeelewa joh
Ushashiba supu eeh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napokea maupako kama yote hapa halafu ninyi mko mnaniletea za kuleta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo kanisa litakuwa la Zumaridi.
Kubashiana.
Pole kwa kazi mama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mama we nitake radhi mtoto wa mwanamke mwenzio mimi
Karma ni muumini mzuri kabisa.
Ni kweli.Halafu umefanana naye kweli yule mama
Hahaha...vizuri...
Halafu naomba mwaliko wa chrismas, desemba ndio hii ujue...sina mahali pa kwenda kufyonza vyuku