Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Msalimie sana
Yuko analea.
Yuko analea.
Hongera mkuu.
Ni MtanzaniaDada wewe ni mkenya?

Si viatu pia vile...![]()
Za mdogo wangu.
Amen.Safii..shukrani ziende kwa serekali yetu tukufu ya awamu ya 5
Hutaki au?Hebu huko
Kwamba sina mikono ama,sijaelewa mpendwaHivi wakati ananawa uso anajuaje kama ndo mwisho?![]()
Dunia ya sasa inapenda uwongo kuliko ukweli huyo ni mimi sio lazima ukubaliHii picha sio yako.
Hivi kwanini unapenda kuninyanyasa shemeji?
Hutaki au?









Hii picha sio yako.
Hivi kwanini unapenda kuninyanyasa shemeji?
Eti mtoto mzuri, na ww unaamini ni yeye? Ananichezea huyu.
Kwamba sina mikono ama,sijaelewa mpendwa
Ngoja niifute maana walimwengu mshaanza kukosoa umbaji wa MunguHuo uwalaza, unajuaje kama ndo mwisho wa uso wako!
Eti mtoto mzuri, na ww unaamini ni yeye? Ananichezea huyu.
Usiifute mimi nimeipenda sana i will keep it for references mtoto wa kipembaNgoja niifute maana walimwengu mshaanza kukosoa umbaji wa Mungu
Karma ile yako uliyoweka sikuiona unaweza ukaweka kwaajili yangu then ni tagHamna anatuchezea tu huyo,, ila umenichekesha ulivyolalamika..