Ni mchungu huyu sijui mpare huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani huyu anakupenda ila maokoto ndo hamna
Thubutuuu sijabinuka wala nini shogaree niambie hujatoka tu hosp jamani
Ni mchungu huyu sijui mpare huyu
Achana naye huyu tutapata mwingine π π π πPesa inamuuma huku roho inataka kutoka akifikiria lile shepu anabaki analiota [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu Equation x si uchane wallet ya nn kujibana
Ebu shika hilo paja la kuku vizuri, lisije likakuniga πππππ huoni aibu
Update Chrome yako kwenye play storePm naona zinaingia ila nikijaribu kufungua inatokea hiviView attachment 2715367
Usinisemeshe πEbu shika hilo paja la kuku vizuri, lisije likakuniga π
Hiyo figure kama binti wa kinyaturu kimbulu hiiivii π₯π₯π₯πhiyo mali safi kabisa kama haijazaa vile mzee ..
cha ukorofi Nuzulati au hiyo picha wakati upo secondary ππ
Nimefanya ila imegomaUpdate Chrome yako kwenye play store
Basi tumia app kwa mudaNimefanya ila imegoma
Lakini pia unaweza enda uka clear cache na storageNimefanya ila imegoma
Ongeza maarifa πPesa inamuuma huku roho inataka kutoka akifikiria lile shepu anabaki analiota [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu Equation x si uchane wallet ya nn kujibana
Moyo wangu unacheza cheza hautaki kusukuma damu πUsinisemeshe π
Achana nao sio lazima usukume damu unaweza sukuma hata chapatiMoyo wangu unacheza cheza hautaki kusukuma damu π
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuzinguana mkishaachana sio bana.Km sijakubali kuachika je? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unipotezee muda wanaume wote humu niwakatae kwaajiri yako afu tuachane kwa amani?? Thubutuuuuu!!!!!!!!
Ongeza maarifa π
Tafakuri ya kimaisha
Nazungumza na wale wenye miaka 35+ Jaribu leo utoke peke yako, na uende kwenye mazingira tulivu, kama yanaruhusu kupata kinywaji au kula matunda yoyote fanya hivyo. Jitafakari ulipotoka, mpaka hapo ulipo sasa. Jiulize haya maswali; leo hii nikifungwa gerezani ni nani atakuwa karibu na mimi...www.jamiiforums.com
Achana naye huyu tutapata mwingine [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usinisemeshe [emoji19]
Ukipitia hizo changamoto ni nani atakuwa na wewe karibu? baharia au π π πMxxiewwww!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuzinguana mkishaachana sio bana.