Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Saint Anne leo vipi?
😅😅😅 ili iwejeTutafunga kwa mafungu saa tisa alasiri padri Fabian Vitus
Naomba niwe mlinzi
🤓🤓 sema usiku utanitesa sana, uzio una umeme huo.. na mie nikirudi nimelewa huwa napenda kuruka ukuta.. gari inabaki getini . au utasozea kuamshwa usiku wa manane kila siku
Watu wasisumbeke sana kuchanga changa mara mbili 😂😅😅😅 ili iweje
Utakua unatokea wapi huo usiku wa manane???🙄🙄🙄🙄🤓🤓 sema usiku utanitesa sana, uzio una umeme huo.. na mie nikirudi nimelewa huwa napenda kuruka ukuta.. gari inabaki getini . au utasozea kuamshwa usiku wa manane kila siku
Nikikuwa scout shule akifai 😂Unacheti cha mgambo 🤓🤓
C.c Dr Lizzy
Kazini TBL 😅😅😅Utakua unatokea wapi huo usiku wa manane???🙄🙄🙄🙄
C.c MwachiluwiKama hana tuachane nae.... 😏
Tutaweka Mmalawi!
Itabidi wakubadilishie shift tu....hamna namna!!!😏Kazini TBL 😅😅😅
Nimepangwa shift ya usiku kila siku
nacho cha scouti na nishawainkuwa sungusungu
😅😅😅 nitakupa namba ya mkurugenzi uniombee ingine au namba ya HRItabidi wakubadilishie shift tu....hamna namna!!!😏
Ongea na tajiri yangu Dr Lizzy 🙂🙂Ni
nacho cha scouti na nishawainkuwa sungusungu
Mkurugenzi ndio mzuri maagizo yatoke juu kabisa!!!!😊😅😅😅 nitakupa namba ya mkurugenzi uniombee ingine au namba ya HR
Mwachiluwi anazingua!! Sasa scout anaweza hata kukimbizana na kibaka??😮Ongea na tajiri yangu Dr Lizzy 🙂🙂
Nikikuwaga sungusungu pia uku kongoweMwachiluwi anazingua!! Sasa scout anaweza hata kukimbizana na kibaka??😮