Selfika na JF: Snap it. Show it

hapo sasa, I'd ingine namuogopa nani sasa? Km founder na moderators wake siwaogopiii, ndo awe yeyee?? anijiee taratibu, tena akae kwa nywilaaa khaaah.

Uduguu selfika nione rangi ya mtume
 
Dunia na walimwengu wake yaani Jf ina watu ukisikia vile wanaeneza uwongo na uzushi huko pm unaweza shikaπŸ™†πŸΎβ€β™€οΈ
 
Hii ime expire maana msemaji ana aibu sahii hata huu uzi hafiki 🀣
Anahisi muda wote nitamsuta

Nataka story mpya content creators πŸ˜‚πŸ˜‚
Km mmefulia niulizeni basi
Okay tupe mpya basi🀣
 
Dunia na walimwengu wake yaani Jf ina watu ukisikia vile wanaeneza uwongo na uzushi huko pm unaweza shikaπŸ™†πŸΎβ€β™€οΈ
Unashangaa huyu wana mzunguzmia mie au ni mtu mwingine.. unakuwa confused... mtu hujawai hata onana nae, na unakuta kuna watu wana mjua humu na kumuheshimu unaunganishwa nae kwenye tela.. wengine wana ndoa zao na familia zao.. unaunganishwaa.. likatokea la kutokea inakuwa tafrani tupu.. kweli JF wengi hawana kazi nimeamini ndio maana unakuta mtu yupo humu 24/7 πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…