Sasa naonekana nasambaza ngwengwe makusudi.. huoni hata kama kuna mdada likuwa aolewe humu hizo fununu kama zamfikia mlengwa si msala huo.. alafu kulala ( uasherati, uzinzi sio ulijali ). Ulijari ni kuwa mwanaume unaweza tekeleza majukumu yako ya kibaba..
Haya yote chanzo ni nikki wa pili, kisayansi sphincters zangu zishalegea hata ubongo wangu huwa unaacha kufanya kazi yake sawasawa. Baada ya hapo utumbo wangu umeanza kushambuliwa kwa kasi, ndio maana huwa hawatoboi miaka 40