Yupoo mbna humu humu, siku hizi hawagi sana lakini. Sasa imagine kipindi kilee napangua jopoo LA watu humu ndaniii, kwa I'd hii hii.
Afu leo mtu anasema nafungua I'd mpya nimtukanee!! Tena kwa kitu kisicho na maana, hivi ananijua au ananisikiaaa??
selfika imevamiwaaa, wallah khaaah.