Yupoo mbna humu humu, siku hizi hawagi sana lakini. Sasa imagine kipindi kilee napangua jopoo LA watu humu ndaniii, kwa I'd hii hii.Siku hizi umeacha kuchamba watu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha mbali
Kuna jamaa alinambia yaani nyie mnaomwuote huyo dogo nikikutana na nyie nawacharaza fimbo
Halafu dogo nikikutana naye namfunga jiwe akafie baharini
Nilicheka nikakaa chini[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment zako zimenichekesha sana 😁😁😁jitahidi mikwara nayo inasaidia.😬😬😬😬😬😬😬😬😬
cha ukorofi nawe umtokea wapi😅😅
au kamanda kagoma kulala
anapandwaa kama boda boda huyo 😅😅Hahahhaha, ngoja nijijenge kwanza nikiwa na minyoosho yangu
Inshallah kaka angu😍
Ila mtoto wa kiume una dislike kila comments ya mwanaume mwenzio😂
AkyaMungu wallah, papai limekwiva🚮
Napita naked kwanza usitoke
Ni hivi vitoto, I mean vipapai kutwa kujisifia na ID mpyaYaani hapa hapafai tena
Hizi tabia za kuchukiana na kuzingatiana sijui zimetokea wapi watu wamekua na interest ya kuongea uongo na kuzushia watu mambo ya hovyo
Dhima ya kuwepo jf inapotea
😬😬😬😬😬😬😬Comment zako zimenichekesha sana 😁😁😁jitahidi mikwara nayo inasaidia.
🤣🤣🤣🤣Hasa sisi tunaokaa kwa mashemeji 😂😂 tunakula na kushiba ila wanao kaa kwao wamekondeana kama bawaba ya mlabgob
Em tumuone🤣Waambie na wenzio 😂
Huyu mtoto ni mzuri kinyamaa
Tuko very proud 🏄♀️🏄♀️🏄♀️
Ndio umemrithisha penseli?Nimeshavuka hizo level, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DuuhSijiamini kabisa sina confidence. Ila nataka kupimwa
Sasa Mwanaume ukiambiwa umemkula fulani si ulijali why unachukia😅😅😅😬😬😬😬😬😬😬
tulia wasipo ungama.. mtaanza kula ubwabwaa hapa sina masihala mie
Na kugombea bocha za mjeo uku wao ni bass wa tra 😂😂😂 wakumbeshe wapige mswaki morng sasaiv🤣🤣🤣🤣
Watanenepa saa ngapi kutwa kuhangaika na ya dunia
Sema msimamo ni ule ule, kwa shemeji hatuhamiii labda watupige bunduki
Kalale kijanamshamba_hachekwi ukiona kimya ni bipu nikupigie uwe unanisomea kinachoendelea mpka mwisho
Ndio nataka unirithishe
Hakujui kama wewe jeshi kutoka mbinga huko,haihitaji backup ya I'd ingine😁Yupoo mbna humu humu, siku hizi hawagi sana lakini. Sasa imagine kipindi kilee napangua jopoo LA watu humu ndaniii, kwa I'd hii hii.
Afu leo mtu anasema nafungua I'd mpya nimtukanee!! Tena kwa kitu kisicho na maana, hivi ananijua au ananisikiaaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] selfika imevamiwaaa, wallah khaaah.
Bado wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio umemrithisha penseli?
Content mpya.. new story ikifika nitashea 😆Sema msimamo ni ule ule, kwa shemeji hatuhamiii labda watupige bunduki
Silali ata songesha nitasingesha 😂😂😂Kalale kijana
😆😆😆Leo sina vocha
Aweke namba chap nimrushie 😀
Leo niko huku 👇