National Anthem kwan wakisema umeungua kuna shida? Au wanaona unafaidi baada ya kuungua ni washamba ukimwi kitu cha kawaida ila tuzushiane mambo ila tusiharibiane futere
Wapuuzi wanafaa kupuuziwa
Umuache ajipe airtime akichoka ananyamaza, kakuta watu wako tangu 2007 halafu anakuja kujifanya anajua watu humu ndani kama amezaliwa nao
Pathetic!
Yule baba wenzake wanampelekea umbea
Na yeye anautoa nje
🤣🤣
Hivi unajua wale sio wazima?
Sema napenda sekta yake ya kukana
Mjomba anajua kukana yule 😂😂😂
Nilijaribu😆😆😆
Wuuueeehhhh nimenyanyua mikono juu
Nlitengeneza kwa Diddy expert kwa 70,000 mbona nlinyooka, nlivyotoka hapo ni mimi na knotless zangu za 20,000