Selfika na JF: Snap it. Show it

Achana nao bana
This is chitchat whoever takes it serious will jump to hell.....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila shem we kibokooooo km sio mamba kabisaaaa
 
Kwanini ulibadilisha ID ukawa unanitukana nakusema sema ovyo mie mwanaume na sina ligi yako mi najua kuwa niwewe cocastic kwanini au siruhusiwi kuwa free humu mbona wewe sikuwekei kipimo cha kuongea na mtu sasa ni hivi sipendi kufatiliwa kiboya humu kila mtu anahuru autakao maana hata hili bando no one ameniwekea na hii account sio wewe umeni creatia kuanzia leo wewe na group lako mnikome kufuatilia kifala sipendi nuksi zenu shida zenu kalalieni kwenyw magodoro yenu kama huwezi kuongea kiakili maneno machafu siwezani nayo .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila shem we kibokooooo km sio mamba kabisaaaa
Shem una nini lakini?
Mbona unataka kuniachanisha na babe wangu cocastic
Wewe si ndo ulinambia niseme ni jirani yangu😁😁😁😁
 
Aaah! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unique Flower nilikwambia huyu muongo
Sijali kuhusu Mjep mie najali kuhusu huyu cocastic alilogin kwa account ingine akiaanza kunitusi kisa mtu simjui kwa hiyo mie nisiwe namatani na mtu kisa mtu fulani anamtu mimi sijali Mjep wala najali heshima yangu na sina muda na mtu simjui na wala hawezi kunisaidia nilipo hapa sasa hivi so mimi sipendi kuzoewa kisa eti mtu anamtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…