Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngoja nikuletee na cret zima kabisaa! Ulewee Kama harmonize.

 
πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”.. dah!
Mie haijaniuma sana, imenikwaza kuwahusisha watu wengine na mie na kuna ambao sijawa hata kuwaona.. naambiwa hadi Tinsley nimekula πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mdogo wangu binti wa watu hakana makuu kale.. katoto ka watu hadi kameikimbia jf ..
 
Sasa heka heka za selfika, mie zinanistuaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijaona jipyaa mie, zikusisimue wee mgeni, selfika ilikua zamani sio sasa.

Wee enjoy manjegeka ya humu, afu log out.

Zamani nilipitwa wapi mie jomooooni [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe tuachane na hayo, dagaa zangu nakudai usijisahulishe
 
Pole bro achana nao, mambo ya kuzushiwa yanauma sema ndo binadamu midomo mali yao hawalipii VAT

Km vipi wapotezee, kwan wanaongeza nini kwenye maisha yao
wana waharibia wengine .. ndio kimenikwanza. Ila fresh acha ni shughulike nao nyuma ya stage.. tule ubwabwa kama wanaakili watubu mapema sana hapa.. bila hivyo mie sihusiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…