Selfika na JF: Snap it. Show it

Ninajua vizuri umetumwa na masikini wenzio mmezoea kudanga ndio maana kukicha unawaza wanaume urimbukeni unakusumbua
 
Napenda wanawake hustlers, nitakuungisha hiyo ya 1kg japo sikuwa nahitaj. Weka njia za malipo nione nafanyaje kulipia
Asante Mkuu,Ubarikiwe.

Unaruhusiwa kumnunulia hata rafiki,ndugu ,hata Mimi mwenyewe ni ruhusa kuninunulia😂

Malipo napokea kwa namba yangu ya simu ama wakati wa delivery.
 
Humu walizingua saivi nimeamua kuwa mpenzi wangu ni kuchart kama hanipendi wa sasa basi mie nipo tu kama wewe
Ahahah unachekesha sana unapotaka kula wewe wenzio washakula mda tumekuachia mfupa uangaike nao nyama tumemaliza cheza kwa step usije jikuta nakulipua vibaya 😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amesema alikuwa hana uhitaji
Na hajasema inaenda wapi.

Usijali,kama ni yako utaipata tu.

Soma post 363009[emoji115]

Akilipia niambie nikupe maelezo lini uitengeneze [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…