Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,484
Mi vidole tu na kucha huwa vinanipeleka kwingine , Mpaka hapo nishafika kule kwingine [emoji23][emoji85]
Alooo
Mi vidole tu na kucha huwa vinanipeleka kwingine , Mpaka hapo nishafika kule kwingine [emoji23][emoji85]
Alooo
Mwisho wa mweziView attachment 1277552
Duh hapa nilipo ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mimi kuondoka mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] mniombee....
Duh hapa nilipo ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mimi kuondoka mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] mniombee....
Duh hapa nilipo ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mimi kuondoka mwenyewe😂😂😂 mniombee....
DuhNenda kwenye gari, put lotion in motion. Ukirudi kama bado unataka kufunga then funga tu.
Picha zangu zipi?
Ha ha ha ule uzi unazingua...sijui nani kaanzisha issue za Ngoma 😀😀😀Hahahaa
Bro umepita kwenye ule uzi kimya kimya..
Weka picha basi tujue tuna mzigo wa maombi kiasi gani [emoji16]Duh hapa nilipo ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mimi kuondoka mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] mniombee....
Duh hapa nilipo ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mimi kuondoka mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] mniombee....
Kuna mtu ashakunywa Windhoek zangu 5! Namcheki tu nasema hiiii 😂😂😂Weka picha basi tujue tuna mzigo wa maombi kiasi gani [emoji16]
Kuna mtu ashakunywa Windhoek zangu 5! Namcheki tu nasema hiiii 😂😂😂