Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,268
- 95,544
Ngoja niweke fasta ,kumbe mmelalaWewe mshana umelala muda huu? Mbona watu hawaweki picha? Kama umeshindwa kazi useme tulale[emoji16]
Ngoja niweke fasta ,kumbe mmelalaWewe mshana umelala muda huu? Mbona watu hawaweki picha? Kama umeshindwa kazi useme tulale[emoji16]
Sio MwanzaMwanza sehemu gani hii?
UtanijuzaAise siwezi kabisa ndugu yangu
Shem ake nimerudi, anytime ukiwa tayariShem za kupotea?
Bado nasubiri urudi nami nikuje[emoji571]
Utanijuza
Mrejesho pls.Imebidi nizime flash😂😂
View attachment 1277719
Mkuu[emoji23]
Kwanza kabisa umenikumbusha headmaster wangu wa o level alikua mkenya,
Alimwambia jamaa mmoja "acha kuleta kazi kwenye utani,"
Badala ya utani kwenye kazi
Good morning....!
Naishukuru selfika imenipa kitu roho inapenda
Mshana Jr Shukran you know what I mean
Viatu vya baba View attachment 1277766
Kwahiyo unataka kusena sio real picha...Huo mtandao uaotoa hizo picha naukubali sanaa [emoji23][emoji23]
Kumekucha na makucha yake.
Chat na picha
Hiyo kauli mbiu tumesha iachaKumekucha na makucha yake.
Chat na picha