Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Upendo wa Mungu ni wa kweli.. Twendeni kuabudu sisi tulioamini
FB_IMG_1691285009807.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikono ya mkandaji hapana kwa kweli😂😂😂😂 hao wenye mikono ya hivyo ndio wanasugua kiharage km anataka kuwasha moto, afu wabishi hawapendi kuambiwa ukweli
😆😆😆😆😆😆😆😆😆nmecheka sana kha
 
Daah yani hiyo game sijawahi kuipenda sijui kwanini, baadhi ya game (za kwenye simu) nilizozikubali ni Temple Run, Diamond Rush, Word Link, Sniper 3D, za Magari na zile za Simulation, ila hizo nyingine sijui Candy Crush na wenzie kina Subway Surfer zimenipitiaga kushoto kabisa yani
Hapa ongezea na Zuma 😇
 
Back
Top Bottom