Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio mimi ni Cute wife ndo kasema ankooo! Hakiii Nimecheka hadi wananishangaa hukuu[emoji1787][emoji1787]

Hivi unajua mimi nje ya jf ni mpole sana huwez amini mpk babe wangu haaminigi uchizi wangu wa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilikua ya milonjo Yangu tyuu ankoo!
Daaaah aiseee aiseee. Aiseee

Tonnia tonnia tonnia nimekuita mara 3.

Mdomo komaa acha ninyamaze 🫢🫣.

Mbona 🤔🤔🤔 aaah sijui niseme au ni nyamaze duuh

Mummy upo vizuri acha niseme kiufupi tu maana,,,, 💐💐💐
 
Daaaah aiseee aiseee. Aiseee

Tonnia tonnia tonnia nimekuita mara 3.

Mdomo komaa acha ninyamaze 🫢🫣.

Mbona 🤔🤔🤔 aaah sijui niseme au ni nyamaze duuh

Mummy upo vizuri acha niseme kiufupi tu maana,,,, 💐💐💐
Editing utaziweza basiii ankooo🤠🤠🤠😁! Teknologia tyuuu
 
Hivi unajua mimi nje ya jf ni mpole sana huwez amini mpk babe wangu haaminigi uchizi wangu wa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hunizidi Mimi uduguuu ukiniona live huwezi amini!! 😁😁😁! Kiuhalisia Nipo mpole sana Afu nipo kiboya boya tu 🤠
 
Hunizidi Mimi uduguuu ukiniona live huwezi amini!! [emoji16][emoji16][emoji16]! Kiuhalisia Nipo mpole sana Afu nipo kiboya boya tu [emoji1783]

Sema ukiwa church girl sana lazima udate baadhi ya fyuse zinakatika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwann???
 
Anayekuosha mbona camera haijamtoa vzr?? Wewe udugu wangu ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Msafishwaji ndio nilikua napiga nilikua mbele yake ningempiga yeye magoko yangu yasingeonekana afu nilikua napiga kwa kuibia 🤠🤠
 
Back
Top Bottom