Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwaiyo wanawake weupe (natural) wanahesabika humu ndani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kweli ndo maana watu wanajichubua lakini duuh natamani ningekuwa mbaba hata ningemchukua naniliiu.

Huu ukijana nao jau muda mwingine 😐😐😐😐😐😐😐.

Kuna boundaries huwezi vuka thats for sure.
 
Msafishwaji ndio nilikua napiga nilikua mbele yake ningempiga yeye magoko yangu yasingeonekana afu nilikua napiga kwa kuibia 🀠🀠
Alafu warembooo ndio mchezo gan huu wa kutupia na kufuta msifanye hivyo maana tunao umia ni sisi wananchi 😌😌😌
Alafu Cute Wife ndio kakoleza haka kamchezo kabayaπŸ˜„
 
Kwaiyo wanawake weupe (natural) wanahesabika humu ndani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kweli ndo maana watu wanajichubua lakini duuh natamani ningekuwa mbaba hata ningemchukua naniliiu.

Huu ukijana nao jau muda mwingine 😐😐😐😐😐😐😐.

Kuna boundaries huwezi vuka thats for sure.
Mwombe National Anthem namba za tunda sio tunda staa aroo huyo dada unaweza zima kabla hajakubusu
 
Back
Top Bottom