Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Azam marine

Ndio mkuu, Kilimanjaro 7, boat yao mpya kabisa

IMG_20191129_174628_9.jpg

IMG_20191129_174535_7.jpg
 
Inavutia, mtu unaweza panga tu safari isiyo na ratiba ili upate kukaa humo

Ndio kilichonitokea jana. Nilikua sehem nikaiona Kilimanjaro 6, nikauliza 7 imeshaanza safari? Wakasema itaondoka saa kumi. Nikachukua tkt ya Royal hapo hapo

Six ilikua ndio inaondoka

IMG_20191129_124109_3.jpg


Seven ile sehem ya kapten (bridge) iko juu kabisa.
 
Nimeishi shenyang sana kaka ,, hata week yote nilikuwa huko liaoning , this time nataka niende harbin nikacheki ice sculptures... wew ni mdau najua hahaha .. shenyang has raised me .. pande za Daoyi
 
Woow!! Aisee nauli sh ngapi mkuu hadi Zenji??

Nauli zinaenda kama ifuatavyo.
Economy 25,000/-
Business 35,000/-
VIP. 50,000/-
Royal. 60,000/-

Ila boat mpya nimeona ina ziada kidogo, kuna madaraja ya 30,000 na 80,000/-
IMG_20191129_162247_8.jpg

IMG_20191129_174616_3.jpg

Hiyo ni Royal class ya 80,000/-

Ratiba ni kama ifuatavyo

7:00
9:30
12:30
16:00

Hizo ni boat kuondoka Dar na Zanzibar.
Kwa sasa ukitaka kuivizia mpya, inaondoka saa moja Dar, inageuza saa tatu na nusu, inaondoka Dar tena saa sita na nusu, inakuja kugeuza saa kumi kutoka Unguja. Inapumzika hadi kesho yake asubuhi.
 
Back
Top Bottom