Selfika na JF: Snap it. Show it

mie najua wapi nitakudakaaa.. ila pendaneni dada zetu, mbona sie wanaume tunapenda, tunaheshimiana na tunasaidiana.. ndani ya jf na nje.. msiwe wachawi banaaa

Wewe mimi sina bifu na yeyote humu bana, unaweza kugombana na fake id?? Kwanza nahisi humu nachat na marobot maana sijawahi kuwaona


Afu mbona wanaume na nyie mnagombana? Huyo aliyekwambia ana bifu na mimi atakuwa anajishtukia!!! Mimi nina bifu na pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…