Wivu tuu unamsumbua ,bahati jf live hakuna ,hii id ipo toka 2015 na ni id yangu nina itumia vyovyote nitakavyo,kuomba ushauri,kumuombea mtu ushauri,kutangaza biashara,kuuliza chochote nitakacho,kumpa mtu mwingine atumie,hii id kwenye avatar nimekuwa nikiweka picha zangu mara kibao tuu,wadau wa uzi wa vyakula huwa wanaona kwasababu huwa post sana kule ,kila mtu na maisha yake jamani sio kila mtu ako broke
Hazard CFC Watu8 Danpol