Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Then, salad. Now you can join me.

20191129_204957.jpg
 
Wivu tuu unamsumbua ,bahati jf live hakuna ,hii id ipo toka 2015 na ni id yangu nina itumia vyovyote nitakavyo,kuomba ushauri,kumuombea mtu ushauri,kutangaza biashara,kuuliza chochote nitakacho,kumpa mtu mwingine atumie,hii id kwenye avatar nimekuwa nikiweka picha zangu mara kibao tuu,wadau wa uzi wa vyakula huwa wanaona kwasababu huwa post sana kule ,kila mtu na maisha yake jamani sio kila mtu ako broke Hazard CFC Watu8 Danpol

Hazard is injured for the third time
 
Atoto mi naomba nikuulize bt samahan

Ikiwezekana hata Sakayo akipita hapa na yeye tu share nae au Mtu yeyote

Atoto ikitokea bint wako kapewa uchauzito na boyfriend wake utashadadia kufungwa kwa mshikaji au utaitaj myamalize kifamilia?
Kwa nini kijana afungwe eti, uzembe ulikuwa wao wawili! Kumfunga kijana ni kumfanya mtoto atakayezaliwa akose malezi na upendo wa baba na mama!!

Kwangu mimi nitasimamia wote wawili wawajibike kwenye malezi ya mtoto! Ukimfunga mimba haitapotea wala, ipo na mwanangu atakuwa kabeba damu ya huyo kijana!
 
Usipanick mrembo tunachangamsha genge tu hapa
Wivu tuu unamsumbua ,bahati jf live hakuna ,hii id ipo toka 2015 na ni id yangu nina itumia vyovyote nitakavyo,kuomba ushauri,kumuombea mtu ushauri,kutangaza biashara,kuuliza chochote nitakacho,kumpa mtu mwingine atumie,hii id kwenye avatar nimekuwa nikiweka picha zangu mara kibao tuu,wadau wa uzi wa vyakula huwa wanaona kwasababu huwa post sana kule ,kila mtu na maisha yake jamani sio kila mtu ako broke Hazard CFC Watu8 Danpol
 
Heheh anybody talked bout someone being broke?

Inawezekana wewe mwenzetu una nyota ya betri, si unajua hazina jinsia zile juu +Ve na chini -Ve
Wivu tuu unamsumbua ,bahati jf live hakuna ,hii id ipo toka 2015 na ni id yangu nina itumia vyovyote nitakavyo,kuomba ushauri,kumuombea mtu ushauri,kutangaza biashara,kuuliza chochote nitakacho,kumpa mtu mwingine atumie,hii id kwenye avatar nimekuwa nikiweka picha zangu mara kibao tuu,wadau wa uzi wa vyakula huwa wanaona kwasababu huwa post sana kule ,kila mtu na maisha yake jamani sio kila mtu ako broke Hazard CFC Watu8 Danpol
 
Wivu tuu unamsumbua ,bahati jf live hakuna ,hii id ipo toka 2015 na ni id yangu nina itumia vyovyote nitakavyo,kuomba ushauri,kumuombea mtu ushauri,kutangaza biashara,kuuliza chochote nitakacho,kumpa mtu mwingine atumie,hii id kwenye avatar nimekuwa nikiweka picha zangu mara kibao tuu,wadau wa uzi wa vyakula huwa wanaona kwasababu huwa post sana kule ,kila mtu na maisha yake jamani sio kila mtu ako broke Hazard CFC Watu8 Danpol

Hamna Mkuu huyo hazard ni mtu wa record tu alikuwa anaweka record sawa, peace
 
Back
Top Bottom