Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
For y'all kids, this was the king of New York, back in 88. Big Daddy Kane.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama angu mi napewa tuu maelekezo na Mzee Mshana sina maamuz kwa hilo ebu jaribu kubonga nae kiutu uzima
Kuna msemo unasema watu wazima hamshindwan
Akikujibu nitag mimi jamaniMbona unabadili sana aidii?
Msalimie sana jirani yako!! Muona kwa glass hapoo
Looh location wapii hii
Unakuta nina orodha ya majina mengi mazuri afu natamani yote kuyatumiaMbona unabadili sana aidii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woga mwingine bana....
utakuwa numero uno [emoji73]Akikujibu nitag mimi jamani
Naomba kuuliza,yokozuna ni nini.?
Huu uzi ndo nimeuwona leoDah...
Weka pichaNaomba kuuliza,yokozuna ni nini.?
Na leo uweke pichaHuu uzi ndo nimeuwona leo