Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Nimekupenda sana mwaaaaahhh
Kwa nini kijana afungwe eti, uzembe ulikuwa wao wawili! Kumfunga kijana ni kumfanya mtoto atakayezaliwa akose malezi na upendo wa baba na mama!!
Kwangu mimi nitasimamia wote wawili wawajibike kwenye malezi ya mtoto! Ukimfunga mimba haitapotea wala, ipo na mwanangu atakuwa kabeba damu ya huyo kijana!


