Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,265
Old are gold
Rafiki yangu mpendwa naja kwako siku nyingi
wanipokea kwa uzuri siku zote
wakati sina wanipa nitakacho husiti
nisemacho kwako sawa waniombea mungu
moyoni mwangu najua nina rafiki huyu wa kweli
hakuna yule ambaye atakuja kati yetu
wakati sina wanipa nitakacho husiti
nisemacho kwako sawa waniombea mungu
Ooh kuna watu na viatu duniani
ooh kuna watu wasiopenda maendeleo
ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani
achana nao, waepuke haraka sana
Rafiki yangu mpendwa naja kwako siku nyingi
wanipokea kwa uzuri siku zote
wakati sina wanipa nitakacho husiti
nisemacho kwako sawa waniombea mungu
moyoni mwangu najua nina rafiki huyu wa kweli
hakuna yule ambaye atakuja kati yetu
wakati sina wanipa nitakacho husiti
nisemacho kwako sawa waniombea mungu
Ooh kuna watu na viatu duniani
ooh kuna watu wasiopenda maendeleo
ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani
achana nao, waepuke haraka sana

!!







