mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,801
ngoja na mimi nishike hela😅Wewe umepata shemeji zako wote wanakumudu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuanzia chuggaman mpk J
ngoja na mimi nishike hela😅Wewe umepata shemeji zako wote wanakumudu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuanzia chuggaman mpk J
ngoja na mimi nishike hela[emoji28]
Old are gold
Rafiki yangu mpendwa naja kwako siku nyingi
wanipokea kwa uzuri siku zote
wakati sina wanipa nitakacho husiti
nisemacho kwako sawa waniombea mungu
moyoni mwangu najua nina rafiki huyu wa kweli
hakuna yule ambaye atakuja kati yetu
wakati sina wanipa nitakacho husiti
nisemacho kwako sawa waniombea mungu
Ooh kuna watu na viatu duniani
ooh kuna watu wasiopenda maendeleo
ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani
achana nao, waepuke haraka sana
Kuna demu wangu tangu j4 ajajibu sms na nikipiga hapokei bora nikubaliane na haliMapenzi yatakuua ushageuka Kwevo unaanza kutuimbia![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna demu wangu tangu j4 ajajibu sms na nikipiga hapokei bora nikubaliane na hali
Aya tuimbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tafuta pesa mapenzi waachie wenye mioyo ya chuma, tutakuzika shauri yako
Aya tuimbe
Ni safari ndefu, ya mwanadamu
Maisha na mapenzi, uwe mke ama mume
Mara moja kubahatika, maishani mwako
Kumpata mtu fulani, ambaye huwa ni maalum kwako
Kipenzi cha moyo wako, kati ya dhiki kubwa
Nimetambua na kuamini, kuwa kukutana kwetu
Mwanzo wa kutimia, kuwa ile ndoto yangu
Ya siku nyingi, kwani pendo letu linakua
Kulingana na wakati, kila siku maishani mwangu
Nilikuwa na ndoto, ya kumpata wangu mwenzi
Tufunge naye pingu za maisha
🤠🤠🤣🤣☺️☺️! Hataki wajukuu zake muanze kumchamba visigino vichafu wajukuu wenyewe watoto wa mama Samia 😁😁😁![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu itakua anasugua visigino kwanza
[emoji1783][emoji1783][emoji1787][emoji1787][emoji3526][emoji3526]! Hataki wajukuu zake muanze kumchamba visigino vichafu wajukuu wenyewe watoto wa mama Samia [emoji16][emoji16][emoji16]!
Ngoja tumsubiri !
Babuu Grahams Mrembo Kyuriii anasubiria naked yakoo hukuuu[emoji2788][emoji2788]
We vaa bwana....tutajua mbele kwa mbele!!!Hii style siwezi kusuka😂
Ngoja kwanza niyafue nipige pasi
J3 ntatupia kamoja.
Sijui sasa kama ni mazuri au mabaya 😂
Lady jaydeeWacha wee mwenyewe umejaa mahaba hapo husikii la yeyote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo wifi kweli kakushika huchomoki
Lady jaydee
Now
Umepika chakula huli, huoni chapoa?
Umpweke, mwenye moyo wa duni, twakuita soledad
Kula dada kwani huyo haji, eti yuko na washikaji
Na akirudi matokeo yake ugomvi hauishi
Uko alipo mbali na upeo wa macho yako
Atafanya baya atakalo bila idhini yako
Unangoja na kusubiri, utasubiri sana
Hatokeo kwako machoni hutomuona mwenzio
Uko na rafiki zako, kwako nyumbani kitako
Mkipeana michapo, huku mkicheka na vicheko oh
Wawapa habari zako, jinsi bwana anavyokutenda
Hutojua moyo wake, kwani ni vigumu kufungua moyo
Usijigambe ye akupenda
Hujui akitoka ni nini afanyalo kwako
We wampenda
Katu usiusemee moyo wa mwenzi wako uh woo
Mmelala ni usiku sana, usiku wa manane
Akili yake kumbe yamuwaza akiwa na mwingine
Milio ya simu na ujumbe mfupi vinazidi kwa sana
Ukimuuliza bwana kulikoni utaambiwa ni story
Nao moyo wako punde, unaanza kwenda mbio
Mara usiku akuage kuwa anakwenda kutukio
Muulize ni wapi pande, hatokujibu mwenzio
Mara na siku zingine simu yake iko bize nusu saa
Usijigambe ye akupenda
Hujui akitoka ni nini afanyalo kwako
We wampenda
Katu usiusemee moyo wa mwenzi wako uh woo
Angeujali moyo wako, asingekuumiza huyo
Angeacha atendayo ili wewe upate faraja ah
Lakini umuulizapo, juu yeye hukujia
Hathamini chozi lako, na wala halijali hilo lako pendo
Usijigambe ye akupenda
Hujui akitoka ni nini afanyalo kwako
We wampenda
Katu usiusemee moyo wa mwenzi wako uh woo
Usijigambe ye akupenda
Hujui akitoka ni nini afanyalo kwako
We wampenda
Katu usiusemee moyo wa mwenzi wako uh woo
Wakunifariji nani?Unajitahidi kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko unajifariji mwenyewe???
Wakunifariji nani?
Faraja nakutafuta hauonekani?Jifariji mwaya bro ila mapenzi usiyazingatie yatakuua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]