Kule kuna scheme za umwagiliaji
Watu wametengeneza vitalu then kuna kuwa na zamu ya kuachia maji yaingie kwenye vitali vyenu kulingana na zamu.
Ila kama una hela unaweza kuchukua eneo lolote kubwa mahari then uchimbe Kisima ufunge system ya umwagiliaji.
Ukiweza kujitegemea kwenye hili unaweza kuvuna mazao mengi wakati huu wa Kiangazi