Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shikamoo mr vouchaaa!!!😁!
Babu mkulima hana mbambambaa kabesaaa nawaambia kina Missy Gf na Cute Wife wakamsaidie babu kuvuna mazao wale wasaze wamenidindia banaa😂😂😁!!
Shikamoo mwenyewe boss lady
Huyu babu yako hawamfahamu hao shauri yao we wapambe waende tu kitakachowakuta watasimuliaa

Hilo neno la pili kutoka mwisho sijalisoma boss lady🙈
 
Shikamoo mwenyewe boss lady
Huyu babu yako hawamfahamu hao shauri yao we wapambe waende tu kitakachowakuta watasimuliaa

Hilo neno la pili kutoka mwisho sijalisoma boss lady🙈
"Shikamoo mwenyewe"🤣🤣🤣🤣!🤣🤣!
Nimemiss macho manne mr vouchaaaa do the needful usiku Wangu uwe vizureee boss vouchaa pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
 
mtoto wa kike u shine bwana aone pa kuchomeka hata umeme ukikata bana

Afu wanawake weupe tukideka tunapendeza kweli

Weusi sasa bila filter na snap hawatoboi, uwakute na make up km tumbili wajane
sasa mwanamke mweusi akiwa analia, utadhani tank LA 300mil linamwaga majii.

Woiiiiiiih
 
uduguuu niwacheeeeee!!
Ndiomana nin makasiriko kilo mbiliiiii kidogoo!!
Pambana nahare yakoo sio shida zeityuuu kwaniii!
wapambane na cocoa butter zilizo expire, sisi sio shida zetuuu.

Watu na rangi zetu mjiniiii, na haturingii wala nn.

Pambeeeeeeee
 
Back
Top Bottom