Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
😂😂😂 kumbe na yeye anawiv kama mimi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimemuaga afu sijatuma pic yangu hawez kumind
😂😂😂 kumbe na yeye anawiv kama mimi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimemuaga afu sijatuma pic yangu hawez kumind
Mtoto mnafiki uyo 😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe mbona mpambe sana?!!
Atm mpaka posta af nakaa mbweni [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa nitaenda mjini kwa ajilinyakoKesho tuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sina haraka mbona, bado sijavuka nasubiri document na kugonga passport dia
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na yeye anawiv kama mimi?
Mtoto mnafiki uyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakuwake eewWivu wake wako huingii hata robo!!!!
Afu niache nimelewa naweza kuongea ya chumbani bureeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaharibikiwa ukubwani kama bamiaBalehe inamsumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwaisa ulisomea fani gani, ?Leo hapa nimepitia notice zangu za chuo msicheke mwaandiko wangu ni mbaya na englisha yangu mbovu View attachment 2705441View attachment 2705442
mr. vocha kama mr. vocha😁Anaharibikiwa ukubwani kama bamia
Umeshindwa kugundua hapo kaka?😂😂😂Mwaisa ulisomea fani gani, ?
Ww ujawai nipa vocha nipe leomr. vocha kama mr. vocha😁
😅😅😅Leo hapa nimepitia notice zangu za chuo msicheke mwaandiko wangu ni mbaya na englisha yangu mbovu View attachment 2705441View attachment 2705442
siku nagraduate ntawamiminia mavocha humu🤣Ww ujawai nipa vocha nipe leo
Na izo sup zakosiku nagraduate ntawamiminia mavocha humu🤣
Chama pendwa
selfika wewe vigilante😂Mwaisa ulisomea fani gani, ?
Hayo unayoyasoma fani nyingi za sanaa zinayasoma, Sociology, Education, Psychology.Umeshindwa kugundua hapo kaka?😂😂😂
Nipoo mnywanii si unajua Nyakiboo network problee kwasana! Hadi nipande juu ya mti na mti wenyewe washaukata🤠🤠😁!!Nimepiga namba zote not recharble!! Nikajisemea mnywani asije naye akawa ameelekea msoma Kama mwalimu yule.
pole Sana!!Nipoo mnywanii si unajua Nyakiboo network problee kwasana! Hadi nipande juu ya mti na mti wenyewe washaukata🤠🤠😁!!