mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
dogo anajaza maji kwenye gunia😂 ataumia😂Wacha wee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuma nyingine basi ile ndogo bana, unahongaje manzi bando la 24hrs
dogo anajaza maji kwenye gunia😂 ataumia😂Wacha wee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuma nyingine basi ile ndogo bana, unahongaje manzi bando la 24hrs
Kisa leo tumeshinda wote sio ahahahahahkama wewe tu😂
Ahahaha toa neno dogo hapodogo anajaza maji kwenye gunia😂 ataumia😂
ngoja nione utakapoishia😂Ahahaha toa neno dogo hapo
Wee usinambie mnywanii 😁😁😂! Nyakiboo kuna wazee wa kamati mkivamia mjipange haswaa mnaeza pelekwa Burundi bila nyie kujijua mnywanii Takriiiiiiirrrrrrrrrr! 🤠Antonnia mnyama mkali kidogo nitume kikosi cha makomandoo wale wa kuvunja tofali pale taifa waje wakunasue nyakibo
Nimepiga namba zote not recharble!! Nikajisemea mnywani asije naye akawa ameelekea msoma Kama mwalimu yule.Wee usinambie mnywanii 😁😁😂! Nyakiboo kuna wazee wa kamati mkivamia mjipange haswaa mnaeza pelekwa Burundi bila nyie kujijua mnywanii Takriiiiiiirrrrrrrrrr! 🤠
Utakufa vibaya wewe ohongoja nione utakapoishia😂
Ahahahaha la mwezi weka namba kabisa nikuungie
dogo anajaza maji kwenye gunia[emoji23] ataumia[emoji23]
ukija unicheki bana tukamilishe lile dili letu😋[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha uchawi
Afu leo nimepita hapo Mbeya, kidogo nikustue
ngoja nione utakapoishia[emoji23]
ahahah mimi natumia baccrys bank haina simu bnk[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuma bando kijana acha woga namba natoa za bank account tyuuu
Vipi nikutumie?!!
ukija unicheki bana tukamilishe lile dili letu[emoji39]
Ahaha kantri akiona sikuteteiToka jana usiku niko njiani ss hivi nipo Nakonde border na ndugu zangu kina MULISHANI niko kulewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2705501
aisee, afu kijana anatuma bando la 24 hrs🤣 anategemea miujizaToka jana usiku niko njiani ss hivi nipo Nakonde border na ndugu zangu kina MULISHANI niko kulewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2705501
Ah
ahahah mimi natumia baccrys bank haina simu bnk
Ahaha kantri akiona sikutetei
aisee, afu kijana anatuma bando la 24 hrs[emoji1787] anategemea miujiza
Mwachiluwi utani tu usinipopoe
Ahaha mbona unajitetea😂
Atm mpaka posta af nakaa mbweni 😂😂😂Kazidraw zitume kwa wakala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]