Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Ndio mkuu tulifika hatua mnzuri sana kwaza tulianza mahusihano kipindi kibaya sana kwangu alinijari sana mpka nikawa sawa sijui nisemeje lakini nilikuwa simfwatilii sasa nilipo mpenda sana nikaanza wivu mfwatilia sanaMijambazi na mihujumu uchumi ya humu ndani uliwezana nayo kweli, ???