Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Kaka uniletee dawa ya kuondoa nuksi jamaniKilingeni moja iyo... Moto batiView attachment 1276070View attachment 1276071
Kaka uniletee dawa ya kuondoa nuksi jamaniKilingeni moja iyo... Moto batiView attachment 1276070View attachment 1276071
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mbona sasa anaitwa mama J?
Hapo nazungumzia kipindi hiki tupo wawili...kwani mtoto wetu wa kwanza si tulisema tunampata 2021?
Ama kuna mabadiliko umeamua kufanya?
No, hakuna mabadiliko.
Kwa hiyo nitaruhusiwa kunywea nje tukiwa na mtoto?
Hapana hautaruhusiwa,hiyo ya watoto nimesemea tu kwasababu umewaongelea
Nywea nyumbani tu ndio inanoga
That's my [emoji1780]Sio yeye...
Ina maana mkwe hata wajukuu zako hujui wewe
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu kuna baba Naa [emoji124]
Namfahamu N.Sio yeye...
Ina maana mkwe hata wajukuu zako hujui wewe
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Basi jiandae na wengine watakujaNamfahamu N.