Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huenda unaweza ukafika umri huo ila usitambue kama umeufikia.
mwanadamu huwa ana thamani pale akili na mwili both ni active.
Think of unaifikia age hiyo ukiwa kitandani wewe mwenyewe kwa kipindi hicho unakuwa unatamani anytime uondoke.
goodluck ikiwa utaifikia age hiyo maana mimi kwa wakati huo i believe sitakuwa hai tena
Uoga tu kijana🙄😂🤣
 
Screenshot_2023-07-29_091549.jpg
amkeni tule 😋
 
Back
Top Bottom