Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Consider me as the second🤗My father's age mkuu.
Consider me as the second🤗My father's age mkuu.
Huko ghorofaniUpstairs Ndo nini??, Sijui kitu Mimi
Anything is possible kukiwa na jitihada ya kweli.KJ07 you can call me crazy, but I have this vision.
👉That one day, I will achieve my billionaire vision.
👉But until then let My hustle drums, keep being beaten.
Ghorofa gani??, Mi nalala njee mbona🙄Huko ghorofani
Intelligent businessman my jamiiforums father japo hata mzee nilishawahi kumuona humu jukwaani kipindi fulani sema kwa sasa hana access ya kuingia humu.Consider me as the second🤗
That's why I said, you can call me crazy🤗Anything is possible kukiwa na jitihada ya kweli.
lakini kwa umri wako huo kwanini usinge invest katika vijana wadogo watakao kusaidia kufikia ndoto hizo
mshamba_hachekwi jifunze heshima Kama hii🤗. Hata mi Nina wazee 2 jfIntelligent businessman my jamiiforums father japo hata mzee nilishawahi kumuona humu jukwaani kipindi fulani sema kwa sasa hana access ya kuingia humu.
Some people will see you as crazy and think yhat you are wasting your time but believe me hakuna effort ambayo haina impact.That's why I said, you can call me crazy🤗
😂😂😂😂mshamba_hachekwi jifunze heshima Kama hii🤗
And beside, I have a feeling I will live up to more than 200 yrs old.Some people will see you as crazy and think yhat you are wasting your time but believe me hakuna effort ambayo haina impact.
Una miaka mingapi??😂😂😂😂
Guide me through the right path since i regard you as my guardian Intelligent businessmanmshamba_hachekwi jifunze heshima Kama hii🤗. Hata mi Nina wazee 2 jf
👉 Mzee Ushimen nime pata mtoto Huku.
Hapo kidogo itakuwa impossible sababu itakuwa beyond nature.And beside, I have a feeling I will live up to more than 200 yrs old.
Bado ni kijana mdogo ila mwenye upeo mkubwa.Una miaka mingapi??
You are in the right direction, just don't confuse your self.Guide me through the right path since i regard you as my guardian Intelligent businessman
Babu yangu alifika 195, halafu sisi kila ancestor Aki ondoka. Ndo tuna zidi kwenda old age zaidi.Hapo kidogo itakuwa impossible sababu itakuwa beyond nature.
Haya kalale, usije ukawa Kama huyu kasuku mshamba_hachekwi, na Ms eyes 🤗Bado ni kijana mdogo ila mwenye upeo mkubwa.
Huenda unaweza ukafika umri huo ila usitambue kama umeufikia.Babu yangu alifika 195, halafu sisi kila ancestor Aki ondoka. Ndo tuna zidi kwenda old age zaidi.
My mind works best ikifika usiku hivyo ni nadra sana kunikuta nimelala usiku.Haya kalale, usije ukawa Kama huyu kasuku mshamba_hachekwi, na Ms eyes 🤗
Same as me, sema acha nifanye kitu.My mind works best ikifika usiku hivyo ni nadra sana kunikuta nimelala usiku.