Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Day mbona ume spell kipole🤒😂🤣I mean no malice to you either 🫥
Day mbona ume spell kipole🤒😂🤣I mean no malice to you either 🫥
Hahahah wewe ulitoa kwa ajili ya UZURI na sio jikoni
Nyie ndo ma sponsor wa nyeto 🤣😂😆😆😆
Umechelewa sasa, kesho ntakushtua mapema
nasubiri docs flani piiemu, lazima niwe mpoleDay mbona ume spell kipole🤒😂🤣
Ngoja nisikitike kwanza[emoji174][emoji174][emoji174] niambie bwana
Yan wewe nakujua, unaisubiria kwa hamu😂😂😂we miyeyusho tu, nshakuzoea😂
Sijasikiaaa, we SI Una jifanyaga jeuri🤣😂😂Intelligent businessman ifute tu, wanatakiwa waitafute🙏🏾😅
Kwaninu ndugu yetu ahangaike wakati tupo😂😂😂Nyie ndo ma sponsor wa nyeto 🤣😂
Wa hivyo wapo wengi tuAnyoe tu vizuri, avae kigentleman sio unavaa nguo za rangi rangi( midosho)
Malaika wa heri walisikika nilipozaliwa wakisema, huu muziki wa Africa umezawadiwa tena...
Kitamboo Sana, nilikuwa nakuonyesha Nina consistency kiasi gani🤒ifute bro, sijaweka emoji ndo userious wenyewe huu
Full kumuua, Afu badae mna muita I second champion🤣😂Kwaninu ndugu yetu ahangaike wakati tupo😂😂😂
Sio kweli. Mnachanganya kati ya celebrities na selebrities. Tatizo lipo kwa hawa selebrities. Unaenda ku-date na dullah makabila unategemea nini?
Wala sihitaji kugombana, nitastick tu na wana, kofia imeshushwa kama pusha marijuanaNdiomana leo unaforce kugombana kumbe [emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ubavu hauna, wewe zako ni Savannah[emoji1787][emoji1787]. Hii mizigo ya jagermeister ni watu kama sisi wabishi[emoji182][emoji182][emoji182] wahi nakusubiri nikusaidie kunywa whiskey
Bora nilewe
sioni nini bro, au unataka uniachie cute wifeUmeona tatizo lako lilipo sasa? Kama bado huoni basi ni zaidi ya tatizo
Wala sihitaji kugombana, nitastick tu na wana, kofia imeshushwa kama pusha marijuana
Huo ubavu hauna, wewe zako ni Savannah[emoji1787][emoji1787]. Hii mizigo ya jagermeister ni watu kama sisi wabishi