YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
nendeni post #328,731
siselfiki tena[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nendeni post #328,731
siselfiki tena[emoji23]
Umeona tatizo lako lilipo sasa? Kama bado huoni basi ni zaidi ya tatizonampenda Ms eyes
serious niliweka picha hapo sijaifuta😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ngoja nisikitike tu. Nasikitika tena kwa mara ya pili.Jamani naomba kuuliza. Hivi Cocastic si anatumaga picha ambazo zinaonyesha ana jinsia ya Kike. Mbona huyo mwengine ni mwanaume[emoji2356][emoji41]
Wewe ni wa tofauti, ni zile sample tunazosema 1 per 100000
wallah vile😂 niseme nini uniaminiNaijua hiyo🤣🤣
Ndugu akiwa snitch, ana kumbushwa🤣😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si ndugu nyie
Nipige whiskey zangu mdogo mdogo hiyo UTI inakaa wapi?Kwanza sijawahi kuwaelewa maceleb hata kidogo wengi vichaa afu yutiai nyiiingii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
💔💔💔 niambie bwanaHapa ngoja nisikitike tu. Nasikitika tena kwa mara ya pili.
Kwa mara ya tatu nasikitika
watu wanazisave wanantumia pm😂Don’t do that🙄
Ambae hasuki na kuweka bleach kwako fresh?Na zile bleach zao, pamoja na misuko yao[emoji1787]. Hell no[emoji706]
naiko naskim nyuma nyuma
napata chochote kitu
Na zile bleach zao, pamoja na misuko yao[emoji1787]. Hell no[emoji706]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] si mpaka ipande kichwani. Hapa ndio kwanza ipo kwa mguuUnatafuta ugomvi kwa lazima sasa? Km umechoka tuondoke
Hebu ngoja nipumzike maana ikifika saa sita usingizi ndio basi tenawallah vile😂 niseme nini uniamini
KabisaWale wanawezana wenyewe kwa wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipige whiskey zangu mdogo mdogo hiyo UTI inakaa wapi?
watu wanazisave wanantumia pm[emoji23]
nimekubali yaishe😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena ile yako nimeitengenezea file lake
Haipingwi hiiTwende tukaendelee kuchagua jina la mtoto [emoji3059][emoji3059][emoji3059]