Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,577
Nina uhakika 99% huyo ni cocasticWala sio yeye coca![]()
Nina uhakika 99% huyo ni cocasticWala sio yeye coca![]()
Haya, tusubiri majibu yake. U fame bila pesa ni useless🚮Nimemuambia atafute kitu kimoja kati ya hivi 1)pesa 2)fame
Kumbe, niliona balaa lake siku ile![]()




Ndio huyo penseli. Amini hiiCocastic amepotea jamani
Maana sio kawaida Cocastic kutokuonekana jf kwa muda mrefu hivi.Nina uhakika 99% huyo ni cocastic
Mademu wazuri hupenda sana fame hata kama huna pesa. Kwani unafikiri wanavyoshobokea celebrities huwa wanapewa pesa?Haya, tusubiri majibu yake. U fame bila pesa ni useless![]()
Nothing😪😪😪Your wish is granted😉
Ana balaa😂Mimi niliamua nikae pembeni nishuhudie mpambano mana kila ninachomwambia hanielewi
Ugomvi wake unaamliwa na mods tu kwa kupewa ban
Nikajua jogoo hajawika alfajiri ushayaanika kariakoo



Kwenye issue ya misosi usiwaze kabisaMwambie coca apike vyakula vizuri aache ubahili, misosi km tuko Shishi food![]()
Ali mdiss mwachiluwi vibaya🤣😂Mimi niliamua nikae pembeni nishuhudie mpambano mana kila ninachomwambia hanielewi
Ugomvi wake unaamliwa na mods tu kwa kupewa ban
Mademu wazuri hupenda sana fame hata kama huna pesa. Kwani unafikiri wanavyoshobokea celebrities huwa wanapewa pesa?



jamani Kwenye issue ya misosi usiwaze kabisa
Wewe andaa apetite tuu


Sikupenda alichofanya. Huyo ni cocasticMimi niliamua nikae pembeni nishuhudie mpambano mana kila ninachomwambia hanielewi
Ugomvi wake unaamliwa na mods tu kwa kupewa ban
Hata mimijamani
Mbona mimi siwapendi?!
hope there is no bad blood bro🙏🏾that's what I do best son 😍
Wee thubutuuuu!! Natoaje siri za chumbani babe!!!! Nimefundwa mie![]()


