Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Nikajua jogoo hajawika alfajiri ushayaanika kariakooMuone kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikajua jogoo hajawika alfajiri ushayaanika kariakooMuone kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Your wish is granted😉Now do so for me🤗
Nimemuambia atafute kitu kimoja kati ya hivi 1)pesa 2)fameAnataka mishangazi.
Nina uhakika 99% huyo ni cocasticWala sio yeye coca [emoji3]
Haya, tusubiri majibu yake. U fame bila pesa ni useless🚮Nimemuambia atafute kitu kimoja kati ya hivi 1)pesa 2)fame
Kumbe, niliona balaa lake siku ile[emoji23]
Ndio huyo penseli. Amini hiiCocastic amepotea jamani
Maana sio kawaida Cocastic kutokuonekana jf kwa muda mrefu hivi.Nina uhakika 99% huyo ni cocastic
Cocastic amepotea jamani
Mademu wazuri hupenda sana fame hata kama huna pesa. Kwani unafikiri wanavyoshobokea celebrities huwa wanapewa pesa?Haya, tusubiri majibu yake. U fame bila pesa ni useless[emoji706]
Nothing😪😪😪Your wish is granted😉
Ana balaa😂Mimi niliamua nikae pembeni nishuhudie mpambano mana kila ninachomwambia hanielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ugomvi wake unaamliwa na mods tu kwa kupewa ban
Nikajua jogoo hajawika alfajiri ushayaanika kariakoo
Kwenye issue ya misosi usiwaze kabisaMwambie coca apike vyakula vizuri aache ubahili, misosi km tuko Shishi food [emoji1787][emoji1787]
Ali mdiss mwachiluwi vibaya🤣😂Mimi niliamua nikae pembeni nishuhudie mpambano mana kila ninachomwambia hanielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ugomvi wake unaamliwa na mods tu kwa kupewa ban
Mademu wazuri hupenda sana fame hata kama huna pesa. Kwani unafikiri wanavyoshobokea celebrities huwa wanapewa pesa?
Ana balaa[emoji23]
Kwenye issue ya misosi usiwaze kabisa
Wewe andaa apetite tuu
Sikupenda alichofanya. Huyo ni cocasticMimi niliamua nikae pembeni nishuhudie mpambano mana kila ninachomwambia hanielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ugomvi wake unaamliwa na mods tu kwa kupewa ban
Hata mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
Mbona mimi siwapendi?!