Usiwasahau manesi na wake wa AscariKweli udugu hakuna watu wanachanganyikiwa na ndoa km walimu. Walimu ukiwakuta story zao Mr kafanya hivi, Mr kafanya vile
Mimi nawashauri wanaume wanaotaka mitaji wadate walimu, wanaenda kuombewa mikopo buree kazi yake ni kumbebisha nitakuoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahhahaha,Hahahahah... usijali!
Sasa mimi wakati wanagawa sijui nilikuwa wapi au kwasababu nmechanganyikaLete hivyo hivyo tuone weusi ndio wazuri nyie tena uko bk mna mashepu shogare
kweli nlikua sijui, naacha kuanzia leo😅Hakuna unajiendekeza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km yule dr alivyokomalia pic ya Ms eyes afu anajibu kwa kujiamini sio shida zake kabisaaa
Yani kuna watu wanakwaza humu jamani
Unatuachaje sasa boss lady?Mrare unonooo wapendwa Kesho nayo ni siku!!😴💤😴💤😴💤💤💤💤💤💤💤😴😴😴😴!!
Alinikwaza, kumbe hata na wewe uliona ee?Hakuna unajiendekeza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km yule dr alivyokomalia pic ya Ms eyes afu anajibu kwa kujiamini sio shida zake kabisaaa
Yani kuna watu wanakwaza humu jamani
nimefuta kitambo,Kaka Mjep na mshamba_hachekwi please mfute qoute mlivyoquote picha 🙏🙏🙏
Nimeshafuta samahaniTuifute hii kaka ili pic ifutike naona yatizo linaendelea kaka 😍
Nimefuta sikujua kuwa niki quote inabakiKaka Mjep na mshamba_hachekwi please mfute qoute mlivyoquote picha 🙏🙏🙏
Hii Ina ukweli hahahahhah ukiwakuta wamekaa staff story ni hizo,[emoji125]
Watruu na nyotraa zeitruuuu za bundiii [emoji276][emoji276][emoji16]!!
Mwehh sina mpyaa mr vocha!!Unatuachaje sasa boss lady?
Dah kweli walisema kua uyaone🤣😂Ukiweka nami naweka 😬
Fanya namna boss ladyMwehh sina mpyaa mr vocha!!
Bro sijawahi sema natakaa mtu🤔, I focus on my own map.Acha kujifanya mpambanaji kijana maduu hawataki mbwembwe! wanaokula hawa mademu humu ni wenye nazo! Nyie mtaishia kujaza seva tu!
Alinikwaza, kumbe hata na wewe uliona ee?
Wa shule ya msingi wengi ndio walevi udugu japo sio wote ila majority ni walevi hasa wa kiume wazee wazee!!Umeona? Wakibadilisha story bas kuwadiss wadada wao wa kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu ukiangalia hao wanaume zao sasa?! Wengi walevi