Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Una fahamu nalima heka ngapi,
[emoji117]Yana chukua muda gani, kilimo Cha Aina gani??
[emoji117]au unahisi wote makenge bro, chill
Acha kujifanya mpambanaji kijana maduu hawataki mbwembwe! wanaokula hawa mademu humu ni wenye nazo! Nyie mtaishia kujaza seva tu!
 
Nipooo ankooo akeeee mambo ya weekend !!

Miss youuuu ankoli anguuu !!
Miss you more ile shughuli ipo 3/4 done hiyo robo ntaimalizia usiku.

Nikaamua nicheze na kichiwawa hicho. 🤣.

Weeknd naona inakimbia hivyo 😁😁😁.

Nimekumiss sana pia (auntiee mzuri)
 
Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako ankoo!!
Nina somaga bible lakini auntiee 😊.

Sio kwamba nipo nipo tu. 😁

Na kusali pia. Alafu unajua mimi msabato sema wazazi hawataki nihamie huko. Hivyo nangoja nimalizane nao niwe huru 😀
 
Miss you more ile shughuli ipo 3/4 done hiyo robo ntaimalizia usiku.

Nikaamua nicheze na kichiwawa hicho. 🤣.

Weeknd naona inakimbia hivyo 😁😁😁.

Nimekumiss sana pia kipenzi changu wa moyo (auntiee mzuri)

Mtamu kama nn 😘😍😉
Hio kipenzi cha moyo ndio imeharibu ankoo!!

Asante kwa kunimiss ankaliii akee hongera sana kuikamilisha hio robo tatu!

Naomba uibles Jioni yangu anko akee!
 
Anko Nakaombaaa hakooo kazuriiii!!
Kasumbufu hako. Ohooo.

Sema ni kaaminifu balaa mi kila nikitoka lazima anifuate nyuma kama bodyguard 🤣🤣😅😅.

Sema ni kazuri for cuddling. Ka cute kweli
 
Back
Top Bottom