Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi hasira zangu zinakimbilia kwenye pombe, nikiwa nimekwazika nitashinda nalewa, nishasali sana kujiombea niache hii tabia nimeshindwa [emoji119][emoji119]

Lakini hasira zikiisha nasamehe na zawadi nampelekea ila uharibifu lazima nifanye km yupo karibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilichomaga nguo zake hakuamini na nikamfukuza usiku nyumbani kwangu hapo nishavunja na kioo cha gari. Mimi sijui hiz hasira zangu siwez kuzicontrol kabisaaa
Kheeee shogaa badilika jamani....pisi kali hasira za masai 😆😆😆😆😆
 
Kheeee shogaa badilika jamani....pisi kali hasira za masai [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Unajua kuna siku nilikonukisha mpk wanaume wakawa wananishangaa hawaamini kabisaaaaa!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tatizo wivu ndio unaniponza
 
Back
Top Bottom