yeah hilo JF nimeliona sana,, mie ninaofahamiana nao hawafiki hata kumi na wote nimefahamiana nao humu humu tu..
Ila twende mbele turudi nyuma pamoja na hii misimamo tuliyojiwekea kuwa hatutaki kukutana na watu wa JF ila kuna watu tu lazima utakuwa umejiwekea ambao hauwezi kuwakatalia
Mfano
joanah mwenyewe pamoja na huo msimamo wake amesema
Asprin akikubali kuonana naye basi wataonana
Na hata mie pamoja na msimamo wangu huu ila kuna watu wangu wachache sana ambao wakikubali nionane nao basi fresh tu