mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,801
sio chihuahua huyo ni maltese terrier,Miezi kadhaa sikumbuki fresh.
vina hela balaa
sio chihuahua huyo ni maltese terrier,Miezi kadhaa sikumbuki fresh.
Nimekosa, uwe unani tag😂 na kuniambia muda bwana
Duuh sina picha kabisa mbona 😁😁😁.Naomba uibles Jioni yangu anko akee!
Nitakupa kipenziAnko Nakaombaaa hakooo kazuriiii!!
Nimekushauri leo usibanduke hapa ni mwendo wa bandika banduaNimekosa, uwe unani tag😂 na kuniambia muda bwana
Bado nasubiria picha yako mrembo[emoji848] khe
Huyu ni bei chee mbona. Mi jina lake silijui vizuri.sio chihuahua huyo ni maltese terrier,
vina hela balaa
Usimalize wote, nakupa namba unitumie kidogo😂😂😂Nimekushauri leo usibanduke hapa ni mwendo wa bandika bandua
Hadi mshahara usishe
Weka hapa chap kabla dokta hajaja😁😁😁Usimalize wote, nakupa namba unitumie kidogo😂😂😂
Wenzio hawaombagi hivyoBado nasubiria picha yako mrembo
Ooh sorry tungo tata i meant auntiee mzuri 👋👋😚Hio kipenzi cha moyo ndio imeharibu ankoo!!
Hio kipenzi hio ndio imeharibu!Nitakupa kipenzi
Usiwaze
😂 Hapa wataiba wengi, nitumie tu kwenye ile namba yangu kuleWeka hapa chap kabla dokta hajaja😁😁😁
Waselfike sweetheartHio kipenzi hio ndio imeharibu!
Ubarikiwe sana kwa kuwabariki vijana mavouchaaa mr vocha!!
Walioata watufanyie wepesi sasa!!
Wapi hio ankoo akee . Nasubiria blessings zako hapaa do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzzOoh sorry tungo tata i meant auntiee mzuri 👋👋😚
🤣🤣🤣🤣 Bora uendelee kutoniamini dogo.una bahati,
tunavipiga 400k+
sema we changamsha genge sikuamini, picha ukute fake