YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
copy!!!!!
Bado hujafika tu?
copy!!!!!
sawa!Biashara hujakosea wakinga wote tuko hivyo, ila maigizo huko nitoe kabisaa mimi sio mtu wa drama
kule alipo ibada ya kiswahili watu wanaongea kinge..., ndomaanaLeo umeamka na mood ya kingreza cousin [emoji3][emoji3]
Pm Vibaya hivooo Uduguu Hebu tupiapo nasie tupitiepo hapoo lol!![emoji1783]!!
Huwezi kosa mpya bossi lady usie na makuu!!Duh sina hata jipya mkuu !
Ndio ulikua unatumia username gani vilee???[emoji848]!
mapembero vavene
nakufundisha we mtoto wa posta na kkoo [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kuharibu lugha yetu Kigi
Unajiuliza afu unajijibu dah!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]!
Si kila siku mpya uduguuu lol nilijua utawabless miamba namie nioshepo macho kipenziii 😁!!Wewe tenaa?!! Zile nilizotuma zote 3 hazijakutosha?!! Udugu [emoji1787][emoji1787]
nakufundisha we mtoto wa posta na kkoo [emoji23][emoji23]
Si kila siku mpya uduguuu lol nilijua utawabless miamba namie nioshepo macho kipenziii [emoji16]!!
Hapana sina jipya mkuu!Huwezi kosa mpya bossi lady usie na makuu!!
Jana nilitupia kama zote mbona uduguuu!!Za ushindi wa Yanga hujatuma ujue usijisahulishe udugu
sawa!
Jana nilitupia kama zote mbona uduguuu!!
nije tujibanze mahala basi pachaaa 😬😊😊Na mvua yote hii
Ndio nani huyo??Ila hii id yako km ya shem wangu Penseli mbona mnafanana uandishi
umetokea ukoo wa Sanga, Kyando, Mahenge, Chaula, Tweve, Luvanda, Pila, Lwila, Ndelwa, Mlelwa, Mbilinyi, Msigwa na Mbwilo?Mwalemi
Yani jf ids mpyaa kama zote sikuhizi !!Ila hii id yako km ya shem wangu Penseli mbona mnafanana uandishi
umenitupaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yan wewe umenishinda