Kwamba hapa unaigiza ??? Acha woga mrembo ![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akhu
Mara pap umenijua si balaa hilo kaka
Kwamba hapa unaigiza ??? Acha woga mrembo ![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akhu
Mara pap umenijua si balaa hilo kaka
hata kama nikikujua haina shida kabisa siwezi haribu chochote we njoo pm
Weka picha basi maneno yasiwe mengi mrembo inakata stimu!
njoo uniuzie hiyo picha fanya chap biashara ni asubuhi jion mahesabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wacha wee!!
Kwamba hapa unaigiza ??? Acha woga mrembo !
njoo uniuzie hiyo picha fanya chap biashara ni asubuhi jion mahesabu
njoo pm sasa uje upate maokoto kwa pichaUna majaribu wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Ko pesa ipo? Bas sawa tufanye biashara
njoo pm sasa uje upate maokoto kwa picha
Hapo Unakwama sasa!!Wekeni zenu kwanza
Hapa wengi watapigwa unaonekana janja janja sana wewe![emoji39][emoji39][emoji39] nakuja na ninavyopenda maokoto mkinga mie!!! Mbona chap bro
Hapo Unakwama sasa!!
usiniite bro bei itashuka kama bei ya vanilla[emoji39][emoji39][emoji39] nakuja na ninavyopenda maokoto mkinga mie!!! Mbona chap bro
Wewe unaonekana Unapenda biashara na maigizo!Ko wewe unapenda pic za wenzio? Za kwako hutaki? Weka hapa nami niweke, tatizo liko waapi? Mbona simple tyuuuuu bro [emoji1787][emoji1787]
Hebu weka banaa
Hapa wengi watapigwa unaonekana janja janja sana wewe!
Good morning selfika!!
Muwe na jumapili njema wapendwa!
Morning Boss lady!!Good morning selfika!!
Muwe na jumapili njema wapendwa!
usiniite bro bei itashuka kama bei ya vanilla
hayo mambo tujadiliane pm hapa sio salama sanaBasi naomba ipande km dollar, nikuite nani sasa? [emoji12]