YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Kwamba hapa unaigiza ??? Acha woga mrembo !
Jf wote tunaigiza that’s why tuna fake Id, huoni kila mtu ana gari humu kasoro mimi tyu
Kwamba hapa unaigiza ??? Acha woga mrembo !
njoo uniuzie hiyo picha fanya chap biashara ni asubuhi jion mahesabu



njoo pm sasa uje upate maokoto kwa pichaUna majaribu wewe
Ko pesa ipo? Bas sawa tufanye biashara
njoo pm sasa uje upate maokoto kwa picha


nakuja na ninavyopenda maokoto mkinga mie!!! Mbona chap broHapo Unakwama sasa!!Wekeni zenu kwanza
Hapa wengi watapigwa unaonekana janja janja sana wewe!nakuja na ninavyopenda maokoto mkinga mie!!! Mbona chap bro
Hapo Unakwama sasa!!


usiniite bro bei itashuka kama bei ya vanillanakuja na ninavyopenda maokoto mkinga mie!!! Mbona chap bro
Wewe unaonekana Unapenda biashara na maigizo!Ko wewe unapenda pic za wenzio? Za kwako hutaki? Weka hapa nami niweke, tatizo liko waapi? Mbona simple tyuuuuu bro
Hebu weka banaa
Hapa wengi watapigwa unaonekana janja janja sana wewe!



Yamekua hayo?!!Good morning selfika!!
Muwe na jumapili njema wapendwa!



Morning Boss lady!!Good morning selfika!!
Muwe na jumapili njema wapendwa!
usiniite bro bei itashuka kama bei ya vanilla

hayo mambo tujadiliane pm hapa sio salama sanaBasi naomba ipande km dollar, nikuite nani sasa?![]()
Nikupe address napenda dhawadi 🥲
Duh sina hata jipya mkuu !Morning Boss lady!!
Hebu tubless mrembo!
Wewe unaonekana Unapenda biashara na maigizo!
Atume tupokee atuspoil siee