Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,224
- 96,107
Amkenii kumbe spidernyoka ulikuwa rejected 3 times🤣😂😂achana na huyo boya dahan alimkataa
Amkenii kumbe spidernyoka ulikuwa rejected 3 times🤣😂😂achana na huyo boya dahan alimkataa
😅😅😅😅 muwe mna tutag...na muwe mnarudisha feedback kwa mnayo kutana nayo PM hukooo... mod fanyeni kuwa mna Pin comments za vibutialipigwa chaga hapa hapa mbele ya umati
spidernyoka ulijisikiaje baada ya kugalagazwaaa live hapa na mrembo Dahan 😅😅😅Amkenii kumbe spidernyoka ulikuwa rejected 3 times🤣😂😂
Dah unatafuta tuoge matusii😂🤣spidernyoka ulijisikiaje baada ya kulagazwaaa live hapa na mrembo Dahan 😅😅😅
kutoswaaa sio jambo la siri 😅😅😅Dah unatafuta tuoge matusii😂🤣
Ni sawa na kutoa pin ya grenade, Huku umejifungia ndani😂🤣🤣😅😅😅😅 muwe mna tutag...na muwe mnarudisha feedback kwa mnayo kutana nayo PM hukooo... mod fanyeni kuwa mna Pin comments za vibuti
Dah the satanic and demolishing weapon, women use😂🤣🤣kutoswaaa sio jambo la siri 😅😅😅
kutoswaaa sio jambo la kuficha hata watu tusijueee 😅😅😅
😅😅😅😅😅... namsubiri spidernyoka atueleezeee hali alitokutana nayoooo... eweeeeee spidernyoka ulijisikiajeee baada ya mtoso wa DahanNi sawa na kutoa pin ya grenade, Huku umejifungia ndani😂🤣🤣
😅😅😅kuna umuhimu wa kuanzisha uzi wa watu waliochezea vibuti humu Jf... wao watueleze wanepigwa vibuti vingapi... wasitaje walio wapiga wala wasitaje walio walaaa...Dah the satanic and demolishing weapon, women use😂🤣🤣
We mshamba_hachekwi kumbe uliona live mwamba spidernyoka alikataliwa na Dahan 😂🤣🤣😅😅😅😅😅... namsubiri spidernyoka atueleezeee hali alitokutana nayoooo... eweeeeee spidernyoka ulijisikiajeee baada ya mtoso wa Dahan
Mapema tu kesho😂🤣🤣, naanzisha😂🤣😅😅😅kuna umuhimu wa kuanzisha uzi wa watu waliochezea vibuti humu Jf... wao watueleze wanepigwa vibuti vingapi... wasitaje walio wapiga wala wasitaje walio walaaa...
hakuna kitu ianumaaaa... unatoswaaa alafu kuna mtu anapewaaa mauno anytime 😅😅😅😅..Enjoy it
Dah mwamba ana andika poem ya matusi😂🤣🤣, mta jutaa😂🤣😁hakuna kitu ianumaaaa... unatoswaaa alafu kuna mtu anapewaaa mauno anytime 😅😅😅😅..
😅😅😅 tuishi kwenye dunia ya ukweli na uwaziii... tusifiche fiche watu wakaja kufa na sononaaaMapema tu kesho😂🤣🤣, naanzisha😂🤣
Ukitoswa na mtoto mkali kama Dahan yaaani ni bora ujipigizeee tuuuu... chini ijulikane mojaaa ndio maana sie wengine tunasifia tu... hatusogezi hata puaaaa... 😅😅😅bora tule kwa machoDah mwamba ana andika poem ya matusi😂🤣🤣, mta jutaa😂🤣😁
Hivi Aaliyyah, uli nikataa ehh🤣😂😂😅😅😅 tuishi kwenye dunia ya ukweli na uwaziii... tusifiche fiche watu wakaja kufa na sononaaa
Blood fanta🤣😂😂Ukitoswa na mtoto mkali kama Dahan yaaani ni bora ujipigizeee tuuuu... chini ijulikane mojaaa ndio maana sie wengine tunasifia tu... hatusogezi hata puaaaa... 😅😅😅bora tule kwa macho
tufungukeeee mioyo iponeee .. 😅😅😅😅 tuiponyeee mioyooo wajameniBlood fanta🤣😂😂